Monday, 21 March 2016

  • MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR                                     uchaguzi zanzibar leo umefika hatamu baada ya kutangazwa mshindi leo raisi wa zanzibar na mgombea wa kupitia Chama cha CCM dkt ALI MOHAMED SHEIN kushinda kwenye uchaguzi huo Kwa asilimia 91 kuwaacha wapinzani wake mbali 

AJALI MBAYA IMETOKEA BAGAMOYO 
Msafara wa wabunge wa kamati ya tamisemi wamepata ajali mbaya maeneo ya bagamoyo mapinga kerege watumishi wa almashauri ya bagamoyo wa 5 pamoja na dereva wamefariki hapohapo wabunge wote wametoka salama 

Sunday, 20 March 2016

                                                                 BODY EXERCISE
THE SINGER JASON DERULO WITH HIS GIRLFRIEND
Mwanamziki jason derulo akiwa na girlfriend wake mpya wakiwa kwenye moja ya fukwe nchini brazil wawil hao wanaonekana wakiwa kwenye mahaba mazito
THE STAR OF MAZE RUNNER MOVIE
695

Dylan O'Brien -- the star of the 'Maze Runner' movies -- was severely injured in an accident on the set of the new movie ... and has suffered multiple broken bones .... TMZ has learned. 

Sources on the set tell us the 24-year-old -- who plays Thomas in the hugely successful franchise -- was filming a scene for "Maze Runner: The Death Cure" involving a car ... when something went wrong and he was run over. 

We're told O'Brien was rushed to a hospital in British Columbia with "severe injuries" -- where he is currently undergoing treatment. 

                                                                                    HEALTH BENEFITS OF FRUITS

Matunda ni muhimu sana Kwa binadamu faida mojawapo ni kukuwekasha usiweze kupata magonjwa kupitia kwenye matunda tunaweza kupata vitamins na minerals tunashauliwa tupende kula matunda pamoja na mboga za majani Mara Kwa mara