Monday, 21 March 2016

  • MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR                                     uchaguzi zanzibar leo umefika hatamu baada ya kutangazwa mshindi leo raisi wa zanzibar na mgombea wa kupitia Chama cha CCM dkt ALI MOHAMED SHEIN kushinda kwenye uchaguzi huo Kwa asilimia 91 kuwaacha wapinzani wake mbali 

No comments:

Post a Comment