Monday, 21 March 2016

AJALI MBAYA IMETOKEA BAGAMOYO 
Msafara wa wabunge wa kamati ya tamisemi wamepata ajali mbaya maeneo ya bagamoyo mapinga kerege watumishi wa almashauri ya bagamoyo wa 5 pamoja na dereva wamefariki hapohapo wabunge wote wametoka salama 

No comments:

Post a Comment